Serikali za mataifa wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki zimeshauriwa kuimarisha huduma mashinani kama vile ujenzi wa viwanda, afya na huduma zingine muhimu.
Hii ni kutokana na ongezeko la watu wanaohamia na kurundikana mijini kutafuta huduma hizo ambazo ni haziwezi kimu mahitaji.
(Makala haya yamefanikishwa na Victor Moturi)