Arnold Ageta
Mabadiliko ya tabia nchi yanopozidisha makali yake dhidi ya kilimo, akina mama kutoka kaunti ya Nyamira wanakumbatia njia mpya za kitekinolojia za kilimo, ili kukidhi mahitaji yao ya mboga na pesa.
Kikundi cha akina mama cha Bosinya wanaendeleza kilimo cha mboga wakitumia teknolojia mpya.