Vifo visivyohesabika hutokea kila kuchao migodini, katika sehemu ya pili ya makala wanawake na dhahabu Caren Waraba anazungumza na wakaazi pamoja na vitengo husika kujua ni kitu kipi husababisha kuwepo kwa ajali pamoja na vifo migodini. https://tidalwavenews.co.ke/wp-content/uploads/2023/02/CAREN-WARABA-MAKALA-WANAWAKE-NA-DHAHABU-SEHEMU-YA-PILI-TIDAL-WAVE-NEWS.mp3
September 10, 2024 Swahili Podcast Uchungu wa ustawishaji wa miji kwa mataifa ya jumuiya ya Afrika Mashariki
November 29, 2023 Swahili Podcast Wakulima wakumbatia teknolojia kupigana na makali ya mabadiliko ya tabia nchi