Latest Post


Wakulima wakumbatia teknolojia kupigana na makali ya mabadiliko ya tabia nchi

Mabadiliko ya tabia nchi yanopozidisha makali yake dhidi ya kilimo, akina mama kutoka kaunti ya Nyamira wanakumbatia njia mpya za kitekinolojia za kilimo, ili kukidhi mahitaji yao ya mboga na pesa. Kikundi…Listen Here

Mutata Tipin (Ukeketaji/FGM)

Mutata Tipin is a Pokot name for female genital mutilation (FGM). Listen how FGM practice in Pokot is undermining girl child rights…Listen Here

Makala Wanawake na Dhahabu Sehemu ya Tatu – Caren Waraba

This is the third and final part of Wanawake na Dhahabu (Women in Gold) as presented to you by Caren Waraba. Listen how women are forced to do gold mining despite the looming dangers…Listen here

Wanawake na Dhahabu – Sehemu ya Pili – Caren Waraba

Vifo visivyohesabika hutokea kila kuchao migodini, katika sehemu ya pili ya makala wanawake na dhahabu Caren Waraba anazungumza na wakaazi pamoja na  vitengo husika kujua ni kitu kipi husababisha kuwepo…Listen here

Wanawake na Dhahabu – Sehemu ya Kwanza – Caren Waraba

Kijiji cha Naruora kiko mashariki mwa nchi ya Uganda eneo la Alale, kimezingirwa na milima, ndani mwake kuna  shughuli inayoendelea, ya uchimbaji dhahabu, kuna umri wa aina yote, wapo wanawake wajawazito…Listen here

Kiu yangu – Caren Waraba

Jamii ya Pokot hutegemea ufugaji wa mifugo lakini hukumbwa na ukame kwa muda mrefu. Je walemavu hukabiliana vipi na makali ya ukame unaoletwa na mabadiliko ya tabia Nchi?…Listen Here

Elimu Spesheli – Arnold Ageta

Special education for special needs children is playing a very important role in the society. But why would parents disown their children?…Listen here

Jinamizi Kaunti ya Migori – Arnold Ageta

A disabled girl was raped and impregnated in Migori County, Later she gave birth to a disabled baby…Listen here

Wingu la Simanzi – Arnold Ageta

People living with HIV/AIDS face numerous challenges in life. But why do they stop their treatment to seek herbal medicine?…Listen here

Kuzuia Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa Kupanga Uzazi – Arnold Ageta

Many mothers living with HIV/AIDS fear getting pregnant. But some do get pregnant. How do they prevent transmission of HIV to their babies?…Listen here


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *