Jamii ya Pokot hutegemea ufugaji wa mifugo lakini hukumbwa na ukame kwa muda mrefu. Je walemavu hukabiliana vipi na makali ya ukame unaoletwa na mabadiliko ya tabia Nchi? Je akina mama huhisi vipi wakati waume wao huenda malishoni kwa muda mrefu? Sikiliza makala haya yalioyoandaliwa na Caren Waraba.